MSKIE OBAMA:

Kwa Tanzania sijajua kama unaweza kumchukua Rais ukamuweka kwenye vituko 'Comedy'. lakini kuna baadhi ya marais ulimwenguni wanaangalia kama usalama upo wakutosha basi unaweza kumshirikisha.

Hii amebahatika kuifanya Jerry Seinfeld alipo mshirikisha Rais Barack Obama kwenye comdy yake ambapo walikuwa kwenye gari na Obama akijibu swali la kwanini anahisi watoto wanampenda yeye anadhani nikwakuwa ana masikio makubwa na kuonekana kama cartoon "Partly because my ears are big so I look a little like a cartoon character".

No comments:

Post a Comment